Total Pageviews

TANZIA TANZIAN TANZIA TANZIA TANZIA.....MBOWE AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA







TANZIA TANZIA TANZIA....
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani bungeni(KUB) na mbunge wa Hai mheshimiwa FREEMAN AIKAELI MBOWE amefiwa na kaka yake Max Mbowe aliyefariki muda mfupi uliopita katika hospitali ya Muhimbili.
Pole sana Mh FREEMAN MBOWE. POLE FAMILIA YOTE YA AKINA MBOWE NA UKOO MZIMA......
CHADEMA imeandamwa na misiba sana katika kipindi hiki kifupi. Mnyika alifiwa na baba mzazi, Tumaini Makene, alifiwa na baba yake, Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Iringa vijijini akafariki, mdogo wa Mbunge wa Bunda mh Esther Bulaya bwana Deogratius Bulaya akafariki, mdogo wa Allan Bhujo akafariki, dada wa mh Tundu Lissu mh Christina Lissu akafariki na sasa Freeman Mbowe amempoteza kaka yake Max...
Mungu tunusuru na msiba hii...
Rest in peace Max.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »