Diamond Platnumz anaendelea kuwaumiza kichwa mashabiki wake kwa kipini chake cha pua.
Kwa tamaduni za Kitanzania, si kitu cha kawaida mwanaume kutoboa pua au
hata tu kupachika kipini puani ndiyo maana tangu staa huyo aonekane
akiwa na kipini hicho, mashabiki wake mwenyewe hawaishi kumshambulia.
Hata hivyo haoneshi kushtushwa na malalamiko hayo kwakuwa huenda anajua kuwa si mtu wa kwanza kufanya hivyo.
Hawa ni mastaa wengine duniani wanaovaa kipini cha pua.
The Game
Wiz Khalifa
Chris Brown











