Maeneo yanayotarajiwa kuathirika ni Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani na Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba
--> Wakazi wa maeneo tajwa wanashauriwa kuchukua tahadhari na hatua stahiki. Hali hii inatokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua sambamba na uwepo kimbunga FANTALA katika Bahari ya Hindi.