Wakuu
ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume
warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii
nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu
wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili
nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana
mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke
kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao
wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa
wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake na nyie mnasemaje??