Total Pageviews

Tundaman anusurika kifo ajalini...dereva wake afariki papo hapo

Tundaman (3)Tundaman (4)Tundaman (5)
Taswira za ajali aliyoipata Tundaman leo.
Tundaman (2)
Tundaman akiwa na marehemu Mussa maarufu kwa jina la Man Katuzo enzi za uhai wake.
Tundaman (1)
Tundaman (kushoto) akiwa na Stamina (katikati) pamoja na marehemu Man Katuzo enzi za uhai wake.
Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya, Tunda Man leo amenusirika kifo baada ya kupata ajali mbaya eneo la Idetelo, katikati ya Nyololo la Makambako, kwa mujibu wa Tunda Man  akiwa amesinzia ghafla alisikia mlio mkubwa uliopelekea gari yao kupoteza muelekeo na kuelekea porini, ndani ya gari yao kulikuwana watu watano ambao mmoja wao alifariki dunia papo hapo huku wengine wakijeruhiwa, aidha Tunda Man amemtaja marehemu kuwa ni  Mussa maarufu kwa jina la Man Katuzo ambaye taratibu za kusafirisha mwili wake kuupeleka Kilosa mkoni Morogoro zinaendelea.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »