Roma Mkatoliki amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Mama Ivan.
Ndoa
yao imefungwa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo
Kala Jeremiah aliyekuwa best man. Wawili hao wana mtoto wa kiume, Ivan.
Kupitia Instagram, Roma ameandika: Was
a beautiful day #9thApril2016 Thanx God Finally A made it. @mom_ivan
@mom_ivan #SpecialThanx Asanteni sana ndugu zangu mliokuwa nami bega kwa
bega katika kulifanikisha hili. My boss @j_murder_tongwe Tisha sana
mzazi. Oi My homie #Kepitein @captaintanzania Asante sana wakwetu.
#BabaJonii @adamchomvu Thanx #Blood My men @harakatizabongo asante kwa
kuja. My day one partna @kalajeremiah Am speechless bro. Thanx Chief
#LeuNyaulawa @timesfmtz #KomandoMwamba @arnoldmadale Oi tisha bablai. My
babe @daynanyange love u umejitoa sana mamii.
Tazama picha zaidi:






