
Ukiwa
msanii kwenye ulimwengu wa leo ambao kiki ni sehemu ya kachumbari ya
showbiz, ni lazima ukubali yote – hata kuvua nguo kwaajili ya picha.
Msanii
wa Nigeria, Flavour amefanya kile ambacho tumekuwa tukikiona kikifanywa
na wasanii wa Marekani tu na tena wa kike, kupiga picha za nusu utupu
na kuweka hadharani.
Kwenye
picha hiyo Flavour anaonekana amekaa kwenye jacuzzi akiwa kama
alivyozaliwa huku gitaa alilolishika likifunika sehemu zake za siri.
Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa alikuwa amevaa boxer.
Nusu wameona ni sawa na nusu wengine wameona Flavour amezingua.
“There
are many ways u can take a sexy pic aside dis shit. u are an
entertainer doesn’t mean u should lose ur senses or throw caution to d
wind. real men snap pics wit there kids,fiancees or frnds. u are popular
alredy so u dont need 2 display dis childishness. iimagine ur kids
seeing dis pic in future? hw wil dey feel? ur guess is a gud as mine.
God has blessed u,go make a foundation and bless others too instead of
fooling urself on social media tinkin u are impressing us. dis pic is a
disgrace to grown ass men like us,” ameandika shabiki mmoja.