Total Pageviews

MR BLUE AFUNGA NDOA.....PICHA ZOTE ZA HARUSI YAKE ZIKO HAPA.....CHEKI TUKIO ZIMA HAPA..


Tunampongeza supastaa wa Bongo Flava Mr Blue kwa kufunga ndoa na baby mama wake Waheeda, ambaye amezaa naye watoto wawili. Blue amefunga ndoa leo April 14 2016 kimya kimya na inasemekana kwamba waliohudhuria ni ndugu na marafiki wachache wa karibu.
blundoa8
blundoa7
blundoa6
blundoa5
blundoa4
blundoa3
blundoa2
blundoa1
Tunawatakia ndoa yenye furaha na amani!

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »